Hello Talkers, Am planning to buy a car,a second hand . Preferably those two makes. Kama wewe ni car dealer saidia mimi kutafuta. Ahsanta.
:D:D:D… naona you’ve been forced to upgrade
I would go for the Toyo 100. I have never liked the starlet and other diminutive vehicles
Sema una budget ya 300k, my advice ni ufikishe 500 upate nyoka aka corona premio.
hii gari ni very reliable and hardy too.
Starlet. TY1oo itachukuliwa haraka kuliko nduthi, pengine ukiwa ndani.
tafuta starlet GT turbo
Yes,budget yangu ni 250-300k. What’s your advice about kastarlet? Am assuming a starlet is cheap to maintain kifuel etc. Well, I just want a simple vehicle ya kwenda job na kurudi tu.
whats your budget?? get the toyota 100 and pimp it kidogo
:):)sounds weird, hiyo nayo ni gani
for 250k you can get the Toyota AE 100, then use the extra 50k to pimp it. Rims na hewa, and maybe kufunga engine vipoa isisumbue. very reliable car
Chukua 100 ama pia 110
Ama pia NZE with 1.5 cc,Corona premio ni 1.8cc
Find this one. Toyota conquest. Bigger than the Starlet, packs more luggage than the 100.Keep off saloons ambazo huwezi bebea mizigo. Hii hata unaweza lalisha wale wakamba wako hapo nyuma.
http://www.bestcarinf.com/manufacturers/toyota/toyota-models/toyota-conquest/toyota-conquest-7.jpg
Hujui toyota nyoka?
@upepo hio conquest ni ngumu kupata but si kabaya. nyoka bado iko na bei (500k) but a1oo unapata na btwn 150-200k depending on its condition. avoid Starlet GT turbo, itakusumbua turbo ikichapa.
najua nyoka mbili tu, nyoka myama na hiyo nyingine…
Swafi Bro,unaweza nilink na moja?
Aangukie na,400 punch ni mingi
@Elgin piga lap eastlando. getting one is not a one day thing