Starehe za Rexsimba kweli ni za ajabu

Za weza kwenda mbeleee :musical_notes:
Za weza kuenda nyuma :musical_notes:
upande upande na… :musical_notes:

https://x.com/Morayoorr/status/2041454686461456734?s=20

2 Likes

Tumeona kabla Rexxumbwa akue na futhi

Hii ndio kupanda ndiasa literally. Degenerates everywhere. Lakini PhD candidate unasomanga saa ngapi?

7 Likes

Kusoma nayo nilisoma pale undergraduate. At PhD level masomo ni rahisi kuliko pale undergraduate. Just presentations na assignments. Undergraduate nilipambana na mathematics complicated that I don’t even apply. I spent most of my time kwa library. At PhD level..hata kwa exams hakunanga WRONG answers elder. Ukishamaliza course work the rest ni mteremko.. but an elder will choose to disagree.

Una cheki sasa.. my supervisor alinijenga hii thesis ali supervise to guide me in what he is expecting. @Maize_Combuster na huwa unaitisha evidence kila wakati.. nitakujenga link soon. Nikifanya presentation

Huyo jamaa anakaa Salasya

2 Likes

So I hear

1 Like

Don’t know but I too like big women

2 Likes

Hatari sana..

Always date/mate within your weight zone. Hujaona watu wakipigwa war na madame wakubwa kuwaliko?
Ama ni juu the pole is long?

2 Likes

Mkiwa na Nani? Acha kiherehere

3 Likes

Dawa ya balloon siku zote inajulikana ni sindano regardless of how big the balloon is. Imagine Omanga akidinyana na msee wanatoshana body mpaka tumbo.

2 Likes