It seems kuna issue na spying. people say usispy on your spouse, mara wacha simu bla bla bla
Centi zangu mbili
- If you SUSPECT iko kitu, by all means investigate.
- Kama huna reason ya kususpect, wacha kabisa kabisa
- Ukiwa na reason na uinvestigate na hupati chochote, wacha kabisa kabisa.
- Ukiwa na reason na univestigate na unapata evidence, pea dame (ama boy) high boot.
- Usiposuspect, wacha kabisa
Listen, mahali kuna moshi kuna (ama kulikuwa na ama kutakuwa na) moto.
Hata serikali (za maana) wakisuspect wanachunguza.
Personally I’ve only done it once some 10 years ago.
Sikulike ile nimepata but juu nilikuwa “in love” i tried kuibeba tu. NEVER AGAIN!
My take: Chunguza ukiwa na reason ya kususpect. Kama huna, let peace prevail.
And please usifanye juu uko insecure (especially maboy). Insecurity is for girls. Shika doria.
This statement is brought to you by the following hekayas
http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/waaaa-nimekamuliwa-bibi.14408/
na
http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/how-anger-caused-loss-of-life-and-one-year-in-remand.14403/
[ATTACH=full]24256[/ATTACH]