Spotted: US marines takin a selfie on a plane (Obama Protection)

They are doing rounds around Nairobi …noma ikitokea wataruka chini na ma parachutes …alafu wakisha kanyaga ground hivi ni mayhem PS: Selfie was taken using a selfie Stick was posted on Twitter by Sgt. Jake Holmes (the one holding the selfie stick) and he wrote : Covering Nairobi Air in protection of POTUS if noma comes we will engage with full force # hashtag apana tambua takataka<-don’t ask me where he learnt swahilisheng
[ATTACH=full]10200[/ATTACH]

3 Likes

AKIANGUKA ATASEMA ALIKUA AKI DO?

hek…hic…aya

1 Like

ati hapana tambua takataka? ehehehe!! hawa soldier basi wamechoma kitu, system yao haiko sobber

1 Like

ako na kitu inaitwa parachute

2 Likes

in call of duty ukiwa na pad kwa mkono una-control a soldier about to jump out of a bird vile mtu-utense sijui hawa in real life hu-feel aje sasa

@uwes hapa umetusiwa kimpango.

1 Like

Wanatafuta momo na ndurumeni.

This is above a desert…

Hapana tambua uwongo…

1 Like

HAINA WASSS WABUKUSU HATUPENDI VITA

Vile @Wheels amesema, clearly the background inashw ni desert area.watu wengine wanajaza server ni ma hekaya hapa

Kwani they have been flying in the same position for a month?
http://www.irishmirror.ie/news/weird-news/air-force-wow-soldiers-plane-5967663
[ATTACH=full]10230[/ATTACH]
Original date of that website posting is 29th June 2015.
@Jirani wacha ushenzi!

4 Likes

Hahaha naona takataka imetambuliwa. EXPOSED

@nairobilay forensic expert wa kijiji!