Spot Pamba

[MEDIA=twitter]1174297773467942912[/MEDIA]

:D:D wacha afisa ajibambe naniiiiii

They too have a right to be happy, despite the common notion that they are just robots.

Saa hii wako fit wanaeza dance lakini after kuokota machwani watanona Hadi waache kuwa flexible.
Raha jipeni wenyewe.

wacha maofisa wavunje mifupa.

Sioni Kitu mbaya hapo

GSU huwa hawaokoti machwani, wanakuokota marungu…