endgame is here! watu (kwa cinema) wamelia kwa funeral ya tony stark.
ni hayo tu.
Outline the plot.
Kwanini unaharibia watu. We have watched but we are not telling anybody about it. Piss of shit.
Mnipe link ya kustream…very urgent
TLDR: THEY find thanos in less than 20mins into the movie Thor anamkata kichwa.
avengers wanarudi kwao wanakuwa depressed for 5 years.
antman anarudi but haja age at all
wanaenda kwa iron man awatengenezee jumpgate ya ku time travelling anakataa juu ako na mtoi
wanaenda kwa hulk anaunda vitu shoddy
iron man anarudi anaunda kitu refined ndio wanatumia kuenda back in time kuchukua infinity stones
wanarevisit movies za kitambo with some comedy relief scenes
black widow ana commit suicide kwa ile place penye gamora aliuliwa na thanos wakati wa infinity war ndio wapate soul stone
wanarudi na all stones to the “present” day (2024)
wanaunda gauntlet hulk anatumia inamchoma mkono but ana succeed kurudisha watu
past thanos anatokelezea na army mzima na kulipua keja ya kina avengers
wanapigana. thanos ako na the upper hand but before killing them, dr strange ana fungua portals akina black panther, guardians of the galaxy, Valkyrie etc wanatokelezea.
the final fight scene is very epic. text cannot justify it… ni noma sana
thanos anapata the new gauntlet but at the last minute kabla afanye resnapping, iron man anaswitch the gauntlet with a fake one, na kuitumia kusnap akina thanos + army away then iron man mwenyewe anadedi (sounds bogus, lakini ukiwatch ni noma)
kila mtu anaenda funeral ya tony stark mpaka ule mtoi alikuwa kwa iron man 3
captain america anarudi to the past na kuishi huko
sasa… nimeweka hapo juu spoilers.
watu wenye hawataki spoilers wasifungue
Thanks bro at least nikiwatch next week nitakuwa na idea what to,expect
hapo kwa post credits kuna sound ya nyundo kwa chuma,inaeza kua ni nini ama nani?
sikufikia hapo.
Terrible, terrible. 0/10.It’s just a repeat of Infinity but with a different ending.