Yaani tangu mchana nilikuwa naiwaza sana team MMU aisee.
Daahh nimeimiss sana maana nililowea sana.
sasa inatakiwa kila mmoja ambaye ana mawasiliano na mwenzake amualike aje ajisajili hapa, mwishowe tutakuwa wengi na kurejesha mijadala kama ya JF kwani haijukikani hatima yake hadi sasa.