Spain vs England.

England wanakamua nyoka. The three lions are continuing where Harambee stars left.
First half 2 nil courtesy of the Queen’s boys.

3-0 at 37th min

degea ni meffi

Harry kane-xtra anafanya Ramos akae fala.

Sana Spain wanashindwa kudeal na counters.

Ramos is past tense hio defense yao ndio meffi.
Ndegwa had no chance in saving those goals.

Hawa young lion hio siaka wanaenda ata our own @123tokambio hawesmake.

Taka taka is good as dead. Bure kabisa.

Na bambika kuona Ramos akifupishwa, huyu msee anakuanga na kiburi mob

:D:D:D

What a shame wako home na wanapigwa ka burukenge.

That was a clear penalty na red card(Pickford) but ref hapendi ujinga

Hii zuzu inaitwo Pickford inafanya nini.

It wasn’t alipiga mpira kwanza na goal-line man alikuwa hapo.

England had an odd of 5+

for shirt pulling

The change from a 3-5-2 formation to a more offensive 4-3-3 is doing wonders for England. Watching them tonight they looked like a different team.

Tiki taka isn’t dead it’s what you do with the ball when you have it.

:D:D:D sema uliwekerea Spain kichwa or DC1x since last time waliwachapa 2-1 kwao. niliwekerea ov 1.5 kwa mchipi.

Wah! Kumbe hizi ngombe za matador ziliumwa? Sikucheki hio mechi…