Sonford Chips FC Starter Pack

  1. Full suit
  2. Over 40
  3. Eats hapo hapo (not take away)

last bt not least

  1. Chipo kavu
    [ATTACH=full]195309[/ATTACH]

[ATTACH=full]195310[/ATTACH]

Na kuteremusha ni maji ya mfereji…just imagine!! SMH

Hehe… Fake it Till You Make It!

Hii ni mjama ambaye his circle of buddies thinks that tratorria is his main eating place but when no one is looking, mambo ni sonford.

kamidget hapa ndio huwa unasema sadness of life

Simjui kamidget ni nani but I agree

Hehe full suit Ile yenye polisi hupenda…Ile ya 6k na bado iko na tags

Kila nyani na starehe yake

Sadness of life

Hii chipo hapo chini ni za area 4 hapo karibu na KCA university nakumbuka back in the days nikiwa bado uni nilikuwa nakula hapo luncj

Times are tough… then again, maybe mke amezoea kumpikia sima kila siku akaamua kujikumbusha chipsi zinavyo onja!! Zaidi ya hapo, mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe mwenyewe!

Kila Nyani na starehe zake. Mimi hukula pahali nataka, Kwanza napenda Joe jons pale harambee Avenue,place hakuna viti,unasmama ukikula ukisonga…mostly chips kavu ama na sausage sioni shida iko wapi. Nikiwa pande za Msa rd works nakula kwa wale wamatha wa buckets…Nikitaka kula Sankara saa hiyo ata haiwess nisumbua ata kidogo. Apan tambua class. Mtu apambane na hali yake. Utapata huyu mzae lablda akona flats mbili pahali

Hapo Jo’s penye hapana kiti nimekula tangu nikuwe miaka saba hadi wa leo. Top notch place.

Ukikuja na hizo suti zinatag, nakuulizaga ‘are they paying you to advertise them?’
Si za polisi pekee, hata these Tu mini dignitaries twa mashambani usually clad in them.

There’s a time I went to McFrys hapo tao on a hot afternoon buda fulani akaingia na suti akaorder chipo na full chicken. Venye aliketi akacheki full chicken mjamaa akachapa smile akararua mpaka akaanza kusweat.

Na unakunga na umama sana, hiyo pesa anakula amekuomba ?

You cannot wear a suit and eat chips kavu+tap water in town. You’ve got to choose. Sad.

Enda vihiga na kakamega …ama hata kangemi on Sundays ndio utaona mini-gods in those suits:D

Alafu ako na watoto wamevaa zile dress za netti za princess:D:D

All i see here is a guy doing what he likes or what he can afford; just living is life; and a bunch of entitled online pussies trying to judge him for whatever craving of self praise they may be trying to fulfill.

Umama ni wanaume wazima getting concerned with what another man is eating. What does it bother you na si wewe ulimwambia chagua ntalipa? Jushughulishe na maisha yako. Yako hujamaliza na ushaanza ya mwenzio. Go trade your balls for a handbag value kama itatosha, brarre.

angenunua tu kdf mbili