Sometimes its Good to Just walk away

niaje wazito!! apa kuna Amature Ngwati ingine nacheki moto sana…
haiya back to basics>.
kuna hii song huenda ivi ya KENNY RODGER
promise me son not to do the things l have done
walk away from trouble if you can

Kuna hii post ya domestic violence ya @CORNERS imefanya nikumbuke hii story

am telling you…your mother to you might be an angel but to your dad ni shetani

hawa madame can push you to the limit
kama mimi tommy lee nakuwaga msee kucheka cheka and talkative…sipendi vita and if a fool start causing problems l normally walk away…wasee huni-ita muogaa but walking away sometimes is the solution…

wacha kwanza niwashow why l dont like vita za ufala…my friends back in primo called…kim
walibishana na boy fulani uko area za gachie club inaitwa ONE STONE
argument ilikuwa juu ya KOFIA maboys huzi ita Snapback
so na mauelevi kim akachapaa jamaa kichwa na chupa…
fight ikatokea na wasee wakatupwa nje,…fast forward uyo jamaa hakuenda hosi alienda home akalala
the next day morning hakuamka…he was DEAD

uyo kim shikwa na police wekwa ndani for murder…juu ya kofia…
fast forward…kim chapa 7 years kamiti.

halafu bahati nzuri sijui inaitwa presidential pardon kim released from kamiti
kim rudi Mtaa yake GACHIE 108 and try to reform,the brothers to the guy kim killed, patana na kim and beat him hadi kafunjika MKONO…almost died…(kwanza naskia alikanyagwa magrunadi moja ikatoa MOJOREE)
haya family ya kim revenge and beat one of the brothers,…this stupid fights go on and on until 3 more pple die
one from kim side and two from the other side…
and over 12 pple arrested…the family’s don’t see eye to eye…
so the elders try to resolve this grudges…and the solution was kim atoke kenya…
so kim was taken to Sudan,

after like 2 years tunaskia kim drowned in the Nile…but story was kim was thrown to the river

the grudge still remains hadi today…some times its good to just walk away

mbica ya kim sijaweka… musidelet hii Thread tena

2 Likes

Thats makes two of us. Walking away is the best way to avoid such nonsense. They name you a fool but at the end of the day, you win and walk bounce like @Ka-Buda after a threesome!

5 Likes

@Tommy Lee Sparta kuna stori hujatumalizia bado. Lakini hii mambo ya vita za ulevi etc etc is totally unnecessary. Better walk away and live to see another day.

hebu eleza hii inamaanisha nini?

1 Like

@Guru vita sio poa afadhali wakuitee fala
@Luther12 gani iyo nimalize saa hii niko free

@jameson yani hujui MOJOREE ni nini…example yake nikama ukikula kichwa ya mbuzi then bahati mbaya ukule jicho kuna
liquid inakuwagaa kwa eyeball hiyo ndio MOJOREE

Sounds like the Hatfield–McCoy feud

2 Likes

lakini saa zingine pia ni muhimu kitia mtu adabu…back in the day kuna jamaa estate yetu alikua amezoea kusumbua tudem tu young young hivi…jamaa alipewa onyo mara kadhaa lakini wapi…siku moja akapewa kichapo cha mbwa jamaa alikuwa hosi kama 3 months hivi…huyo jamaa siku hizi niliskia ni mtu kanisa mbaya

2 Likes

I always avoid fights especially when drunk mostly because am bigger and stronger than the average man so kuuwa ni strong possibility

1 Like

One of my best buddies alidungwa kisu na wife after both were drinking. Umenikumbusha brathe

So hiyo avatar ni selfie?:slight_smile:

6 Likes

I always avoid fights especially when drunk mostly because am bigger and stronger than the average man so kuuwa ni strong possibly.

@junkie kwani wewe ndio BIG FOOT

@uncle nyam ni noma kufight ukiwa mlevi…did the jamaa survive?

@uncle nyam ni noma kufight ukiwa mlevi…did the jamaa survive?
[/QUOTE]

Wapi, tulimzika september

wa wa wa…iyo ni noma jo…
najuwa wife aliclaim ni self defense @uncle nyam

@Tommy Lee Sparta, ile ya yule msichana mlikosana kisha akarudi hukumaliza.

@Luther12 niliendeleza kwa comment section hebu cheki

Correct. It was a shock for me considering i was with the dude that day… Mbona madem wakikuyu wako hivyo lakini?

Hata mimi huavoid fights lakini saa zingine kuna watu wenye a push kick through a window would make me feel much better :smiley:

Kwa hivyo hii ujinga yote wewe hutoa hapa inalingana na size yako, yaani ujinga mkubwa ?

2 Likes

vile Kitoto amesema…

matusi ya nini boss??halafu nikitomba mamako utazusha??