soldier amekataa iende hivyo

[MEDIA=facebook]id=643383516361489;type=video;user=PeepMedia4[/MEDIA]

:D:D

Fitness lazima afadhali squats kuliko planks

For real mazee lakini planks huleta core strength nyengine wazimu. Mtu akikukelea boost ni kama amegonga jiwe.

Planks ndo unajuanga kumbe time huenda polepole

True

Planks ndo hukua common punishment huwa inaitwa kusoma gazettiā€¦ Fuck it instructor anakuweka hapo anaenda story unasweat mpaka meno na kutetemeka kama fwackin iko na multiple orgasms

Plank ni tizi mbuzi sana. It should be as a finisher after a killer abs workout. Unafaa kuhold for at least 60 seconds alafu unamalizia na 20 dry humps ukiwa plunk position bado (again vile nimesema as a finisher)

:D:D