@Sokwe mtu unaonaje Germany leo? Hii quote wamepewa ni excess sana kwangu. Kwanza vile Spain ni maziwa lala siku hizi
Umewacha pombe ukaanza kubet?
wachana na mimi nanii
france & portugal kichwa(x2)
io ya germany ni tricky(under 3.5)
Portugal bei iko sawa. France wamekua overquoted. 1.62 is not worth it. 3.1 for Germany is a joke, bookies wamelala hapo. Juu Spain is not as good as they think.
sasa hapa ni kugonja kifo tu:D
forefore bila uoga
Wacha tungoje tuone. Either way inakaa kukua mechi tamu sana.
:D:D
germans down 3 - 0
6 nil