So you think you can sing

I get it, ukiwa kwa shower wewe ni superstar… Haushikiki… Lakini awa watu wanakuja kwa mat, wanavaa earphones na wa naanza kuimba, shida yao hukua nini??
Mwanamke anajiona Beyonce na sauti zinatoka kwa mdomo ni za mbuzi… To make it worse ata hajui lines… Nimsaidia aje?

Nunua gari lako, Your rant = We cunt relate

Pesa ina kazi zingine

Zakupayuka hapa, ama nizakununua maraya ?

Tumekusikia Alvindo…wewe ndio unafikiri unaweza kuimba.

Coachez huwa hamchezi bana… Mimi gwiji

[ATTACH=full]246097[/ATTACH]

I have the voice of an angel just one word and i can subdue any lady nilianza na @Phylgee kisha nikaendea @Merry Christmas halafu my next targets are @Hot Chocolate! and @Mrs Shosho hao ni hard to get but sooner or later they’ll succumb to my charm

You are ambitious. Unless you can really spit like Wiz Khalifa, you got no chance with me:D. You’d also best be tall and v utambi free. Also own a lofty brain…not too much to ask.

I have all those things and much much more lakini niulize mbona unapenda kush kanono and has none of those things he’s a fat, bald, man

Wacha nicheke hapo kwa much much more…I could stay here all day listing his qualities. Tuwache hizi za physical looks kwanza as this diminish with age or circumstances…I am attracted by his brain and terrific sense of humour. Most importantly he does not have a single bad bone in his body and does not know how to be a male biaatch like most men of today. Hajui!

So @kush yule mnono is already taken. @Starscream dumped me already. Beautiful but unlucky

I haven’t dumped you ni wewe uliniwacha

Khasia … ata na banghi hupati my Waithelelo

Mpenz, you are the best. That @Starscream chyeth better go back to his @Merry Christmas. Hapa lanes muhimu.