smoking zone kanairo

Ati watu wantoa unga ya sigara wanaweka bangi alafu wanazivita ni kama ni sigara live live kwa smoking zone

Kila mtu anaskia arufu ya bangi lakini hakuna anajua ni nani anavuta bangi kati ya watu 20 - 30

Stop smoking

Picha? Evidence?

[ATTACH=full]369835[/ATTACH]

That’s the new style hapa nairobi kwanza Eastlands. Am told zinauzwa tao although sikuambiwa place specific.

Legalize marijuana, herb is good for the healing of the nation