sitawai saidia wa2 wengine walae!!

Ki mtu kina kuja kwangu ati ako karibu kutupwa out of her house juu ya rent arrears …she is my Ex analia ati hana pesa ya rent na owner ataki kuskia any. Nam sort out 10K via mpesa ju mm si m2 hivihivi na namshow hio asirudishe. Leo naenda FB naona kimtu kimepiga kaselfie na galfriends zake ati wako road trip wanaenda Naivasha …wakiwa ndani ya ndae alafu yenye inaumiza kuna fisi mwanaume kwa hio photo na yeye ndio ana drive na ametoa meno zote nje inacheka.

Nafikiri alisahau we are still mutual friends in FB…sija comment kwa hio status yake bado…sijui niandike nn? ebu advice…was thinking like writing kwani rent imekuwa Naivasha …nataka ajue nimeshika radar.

PS: Am out of the country

1 Like

Come back to country en get out of facebook

1 Like

another HOYA inductee

1 Like

Ki mtu kina kuja kwangu ati ako karibu kutupwa out of her house juu ya rent arrears…PS: Am out of the country , is this adding up

14 Likes

Naskia kayole ulikuwa na msako jana,cell pia inaweza kuwa majuu.

2 Likes

usijali ameomba lift ampeleke landlord rent huko Naivasha.

3 Likes

YES, she approached me via Whatsapp

walae ndo kusema…?hii utoto haijai isha

always proof read your work … analia mpaka kwa wass up… no beef boss

So how did you mpesa her the money if you are out of the country?
Does mpesa really work when roaming?

1 Like

“Leo naenda FB naona kimtu kimepiga kaselfie”
Wapi picha? U know the drill

Hehe

1 Like

Yes Mpesa and Money gram work hand in hand tembea uone mengi

For doubters i will leave this here…alafu niwache na home work…izo ni pesa ngapi za kenya and PS hio ni pocket change kwangu

[ATTACH=full]5773[/ATTACH]

All this proves is that you have a printer and a 3mp phone!http://images.rapgenius.com/4f7faeb898423516a9aee80e1f8f5bdf.500x500x1.jpg

Hehe budah boss kwani wewe ni ATM ama wewe ni USAID kupatiana donations tu ovyo ovyo?

Doea walking around with euros prove am in europe?

Ki mtu kina kuja kwangu ati ako karibu kutupwa out of her house juu ya rent arrears

alikuja kwako through whatsapp.

4 Likes

Contradictions

THE HOYA BOARD has rejected your application due to numerous contradictions!

2 Likes

unaita landlord ya mtu fisi? hiyo 10k haitoshi so she tops up with mkia naivasha. kama 10k ni pocket change mbona umelua mblainer?

1 Like