SITAWACHIA MWIZI II NCHI, UHURU THROWS JABS AT RUTO

Wamashati today was up & about.
Pale wakulima ikabidi aongee na raiyaa, akasema anatuacha ndani ya safe hands na tunajua ni nani.
Wengine waendelee kutangatanga

https://www.youtube.com/watch?v=F0_TyxF0aNk

Kenya sio brookside,walituimbia shamba province mzima,warudishe hio kwanza

Wimbo gani mzito?

Walinyakua mashamba yet u*2,tafutia chorus

:D:D everyone can see through the lies. He looks desperate.

Can of worms

Lakini how can he say hatawachia serikali wezi…yet sai from MCAs all through mpaka yeye wore ni wezi, si hiyo ni kutubeba wajinga. King kaka was right.

Kenyans ndio watachagua sio yeye

Hio shati imeweza

hapo sawa tuko nyuma ya symbol of national unity uncle Uhunye :D:D:D:D

Desperate drunkard.
Protect the constitution n follow it.
Konyagi has given katiba a contempt card, that’s why he is throwing tantrums.
We know who the great thief is

BBI itapita.
Na utalia.
Kisha tulia…

Ruto!

Niaje mzito

Ungeandika kwa Kisapere Mungich.

No problem, Sina shida infact Italia more than me.
Ngoja muganga amalize kutumiwa then u will c konyagi true selfish colors.
FYI nms is being used to build northlands city

Jaluo,niweke pay bill?

Stupid Fool! Whoever will be elected by Kenyans in 2022 is the one who will be handed over to. This country does not belong to Uhuru Kenyatta. It belongs to all of us and the katiba is quite clear about handing over power.

Hapo sawa

Njaruo ulisema niangamie njaa?