SirMaviCorn services down

Calls,M-Pesa,Messages
zote ziko down… seems nikama kuna Denial Of Service ama kitu kama hiyo…

Labda kwenu. Penye niko iko poa.

Toka Rongai!

1 Like

Hata rongai iko fine. DOS ni wewe

nunua simu ya maana stop being a broke ass

I sent cash with mpesa and it didnt give me a reply!

wapi huko

kwa hivyo leo gatheti tusome ya hoteli eeh?

Don’t resend. I got the same issues all of yesterday, confirmation messages checked in around 2 a.m. this morning.

I withdrew thrice with no message, zikitoka zote uzuri the mpesa guy is around the corner

the price of bringing the servers home…kumbe IT wa safcom wako down hivo

Mpesa came home and died.Lol, what was all that fanfare for?

I can’t withdraw mpesa or send messages either

Iko sida, huwezi weka ama kutoa.

Really? Hebu send me some nione kama nitapata message…:wink:

top 5 comments walikua na mdomo tu

M-Pesa iko sawa sasa