.
[ATTACH=full]30226[/ATTACH]
Nacheki hii game KBC and it’s very boring
1 Like
Serkaal imepanulia ikawekwa moja na red card juu… Si Mombasa Raha tena
1 Like
Nimewaona town wakiwa na mbendera ya amerka na ya Solomon island na nyingine ya Estonia. Hehehe
1 Like
Estonia sasa? Hawa watu hawapitwi na jambo…
Kwani sportpesa walifix match?
hawa players pia hu bet there is no way of regulating that, sasa akiekelea atapata red card second half ama atafunga own goal hakuna vile watajua lazima wamchunguze kabisa
1 Like
waaah itabidi nisake awa players
Aargh!Kumbe ni hiyo ‘sirkal’!.