siri ya deni

siri ya deni ya deni ni kulipa,jamaa wa vitendawili alipe deni ya mumias

2 Likes

Alipe na awache siasa duni

Na pia mashamba zirudishwe,kuanzia ya Weston hotel hadi za huko coast ma high priests warudishe.

Na maskuota warudishiwe shamba.

Hata mimi nilipwe deni yangu.

Shamba ya airport irudishwe.

Na mimi wa-calculate deni yote the Kenya, wagawanye, nilipe sehemu yangu tusare-ane.

@Wakanyama You may have missed my post about Mumias Sugar earlier, Please check out the business section.

Thank you.

Na wewe enda lipa deni ya nyama, I hear many butchers are complaining about you.