Single room Thika

Vipi wanaKijiji, so mkulima mdogo hapa ameAmua kutoka mashambani akuje Thika kuHustle. Advice zikuje mahali nitasaka keja karibu na tao. Single room hivi na estimated cost.

@under23 otunguu ndio ii

Mkoa

Welcome to town life.

Ni place inaitwa hivo?

i hear kuna place inaitwa makongeni…very close to town eti…

Keja pale ni how much hivi

5gees ata

Single room?

yea…

Haya shukran, lakini nikapata mahali cheaper inaweza kuwa poa

Saka karibu na campus. hakuna story na deposit

Mku?

Thika=kiambu.if u know u know

chunga mse. town ni mbaya mbaya. aids is the air, poverty on the roads, theft in the fields… it’s a land filled with mines but the dodging is the fun part.

Kama uko serious,
Inbox me nikusaidie kutafuta.

at a smoro V

Ngoingwa next to the stream are plenty of single rooms and bedsitters

Niko serious brathe, lakini ganji ndio sina, kama unaweza niElekeza tu place general na estimated cost nita appreciate sana

And ni how much hadi tao?

20-30bob. It’s still a walking distance if you want to save money