[ATTACH=full]177015[/ATTACH][ATTACH=full]177015[/ATTACH]
Hahahahaha inamaana watu wamefungwa kwenye container?
Anasema tupo kwenye right track
Siyo ya kucheka hayo ndugu yangu!!
Hivi lori kama hili linauzwaje?
Mkuu muda mwingine inabidi tu kucheka sasa mtu anauliza kumbe tupo kwenye lorry
Na lori lenyewe linashuka mteremkoni huku limefeli breki…
shida tupu…
Sema tumefungwa kwenye container mkuu, kwani wewe haumo ? au ulitoboa ukaruka?
Nipo mkuu natafuta upenyo niruke
Kufungia mitandao inaweza kuwa kosa takatifu,ni kosa lenye heri. Huku tutajua mengi
kichwa na akili wakati mwingine vinaweza kushabihiana
Ndio hivyo tena!
Nalog off
Jiwe Jiwe jiwe nakuita mara tatu, Umeshindwa kuiongoza nchi hii. Tuachie Nchi yetu Rudi kwenu Rwanda