Siku ya birthday yako unapenda nikupe zawadi gani kipenzi changu?

Kweli kabisa mkuu

wapo tatizo wanaogopa kuonekana washamba mbele ya mashoga zao.

hawachelewi kukuambia uwanunulie iphone

Hahahaaaa, ungemkomoa akome kukuuliza siku nyingine au ni vipi Kylie?

Huo ni ujinga sasa, kwa anayejielewa hawezi kufuata mkumbo wa mashoga zake

Kweli kabisa mkuu

Ndo hivyo mkuu, yaani lazima angepatwa na kizunguzungu cha mshangao

Basi kumbe suprise hua ni nzuri eeh? Maana chochote utakachopewa utafurahi tu maana hukuulizwa, hii ya kuulizana kama inaondoa utamu vile, maana ukutane na mtu kama Kylie si utajuta kumfahamu!!!

ni bora ani suprise aisee, nitafurahi na kumpenda, ila hii ya kuulizana inaweza leta shida hasa pale atakaposhindwa timiza

Halafu mtu anaekuuliza ukuletee zawadi gani ni kama anazingua kiaina hivi

ndo hapo sasa hawajielew na hasa sis tunashindwa kuwaelew wanataka nin hasa.

Wengine wanapenda kuulizwa ili waseme wanachokitaka, sasa hapo utamsuprise vipi…

Sio wote wanapenda suprise mkuu

Wanataka ufunguke kabisa ili wajue, kama hawajapenda wanakwambia kabisa wanachotaka ili wasikupe disapointment ya kukukatalia suprise yako

Kweli wewe ni Financial services, Hela tu

Huyo aliyejibu hvyo alikuwa Dunia ipi Mkuu…???

Labda hao waliishia kwenye Dunia aliyookuwepo huyo ila kwa hii niliyopo mm hao hawapo… kwenye 100,000 unaweza pata 3

Ndio wachache sana mkuu, hata hiyo 3 ni wengi sana

unaeza usipate hata mmoja

Kweli mkuu

hahaaa,mkuu pesa muhimu lkn , tena kama yuko vzr financially aah anipe tu pesa wish baadayeee