Siku ya birthday yako unapenda nikupe zawadi gani kipenzi changu?

Mwifwa huyo mwanamke yukoje, shepu sura n.k? Pengine ni wale wanawake wamechakaa hivyo wanalazimika kunyenyekea kwa ndoa na kwa waume zao maanake hawawezi pata mpenzi mwingine iwapo watauchoma uhusiano wao

Hapo sawa

:p:p:p:p:p:p:p:p
Basi hapa tuchukulie ndio mna future yenu, au mpo kwenye ndoa

Za kunyapia mkuu, huyu ni binti mdogo sana, kwa sasa ndio anatarajia kufikisha 21 akiadhimisha Birthday yake hii ambapo ameomba hiyo zawadi

mkifikia hapa huwezi ropoka mkuu, sababu utakuwa unajua mengi kuhusu baadae yenu, so kila kitu kitafanyika kwa kushauriana na kukubaliana, suprise ni chache na ndogondogo, kwa hili ningemwambia niletee glasi yenye maji na ua

Ni kweli kbs,ila duh a wish tu.hahaaa au alitaka ajiongeze mwenyewe.

Sawa

Hapo kaonesha, chochote atakubaliana nacho ila yeye ameona angalau wish tu inatosha.

Sasa itabaki kwa mwanaume kama atajiongeza au atawish tu kama alivyoambiwa

Mpaka nimesogea kuzeeka sijaona

Ni jibu la kawaida kabisaaa! Zawadi huwezi mpangia mtu atakachopata ni sawa mradi katoa kwa Moyo mmoja!
Wapo wanaoahidi na hawatoi so wish ni more than a gift!

Wanawake wa hivyo wapo ila hawasemi kutoka moyoni

Inapendeza…

Cc: @Mahondaw

@Smart911 na @Mahondaw ingieni inbox ng’ombe hizi, hizi cc zenu zimezidi na sasa zasinya si haba

Inawezekana mwanaume mwenyewe choka mbaya angemwambia material things angekuwa anamuonea bure

mmmmmmhhhh nataka gariiii

@Mwifwa birthday yangu soon ebu niulize nataka zawadi gani

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p
Nipe habari kamili huku PM

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p

Sawa

Papuchi aka kipochi manyoya

Hahahahaha hawa wa sasa kabla hujasema au kuuliza unapewa bajeti ya birthday uigharamie halafu ndio uulizwe hiyo zawadi