Sights & Sounds Of The 1980s, 1990s

Groceries za kidosi dosi

Most homes could onnly afford Solid Cooking fats such as Cowboy & Kimbo

Mediaum Wave (AM) Radio, There were no FM stations back then. They were mostly Sanyo or National

image

Tarino gave Fanta Orange stiff competition, the ONLY flavor of Fanta available beck then

FANTA Orange
image

Strike Insectcide, serious competitor ya DOOM

Before Digital cameras

4 Likes

Hii bag inakukumbusha nini?

Na hizi trouser za jeans

Na ndindu unaeza kumbuka hii

8 Likes

Hiyo bag ya kwanza was a must have. Ya kusafiri, una adjust zippers inarefuka. Pure nostalgia.


This advert had a full 1 minute song about the popularoty of Kandanda and Sportsman

It went something like this:

HAKUNA KITU NUMBER ONE KENYA MAARUFU KAMA KANDANDA, SPORTSMAN SAWA HASA NUMBER ONE…

1 Like

SWEET MENTHOL, SM ADVERT

1 Like

Sasa hii ndio kutoka mbali

4 Likes

Hizo Balloons was an early for of Scam by clever shopkeepers. They used to keep messing with big balloon and it was the last to be won

3 Likes

Alafu wanauza 20 ama 30 bob.

1 Like

5 Likes

This was the detachable version. Very cool device back then

2 Likes

Yes. You’d pull a certain button at the back then slide the speaker upwards to detach. Speakers had a fine bass especially after adjusting the equalizers.

This one must have had the advanced Auto Reverse mode. When Side A finished playing the Reader head would quickly turn and the cassette motors switch direction. There was no need to turn the tape manually.

2 Likes

This game was a sham banae.Mtoi wa mwenye duka ndio alikua anapata balloon kubwa

4 Likes

Namwona akili punguani @MIGUNA aki advertise dawa ya kuua mende fo fo fo kabla maisha imgeukie imtandike fo fo fo halafu akaenda amerka kusaidia wazee kujipangusa matako.Mzee akili punguani kama huyu anashindana aje na kijana mdogo kama mimi wa 26years old earning 390k per month?Bure kabisa!

1 Like

Kuwa na hii tenje ilikwua lazima wewe ni sonko. Hii ilikuw ainafunikwa na kitambaa na ilikuwa inatumika sitting room, wakimaliza inapelekwa bedroom ya wazazi otherwise ingekuwa ndio target ya wezi.

Kwa wale hawajui the origin of the word “tenje”. hii ilikuwa ndio sheng for radio, nowadays vijana wanadai simu ndio tenje

4 Likes

Filamu ya yesu…

2 Likes

Mtoto wa shopkeeper ndie alikua anapata hio balloon. Remember Vimto and mirinda soda

2 Likes

Mirinda na tropical juice. Na hii mafuta

4 Likes

I was a teenager in the 70s

4 Likes

wewe mzee

2 Likes

But young at heart. My current wife is 22 while my sidechick is 19

3 Likes