Sifuna has stormed Mombasa - mambo ni WANTAM!

2 Likes

Kalonzo sifuna for 2027

1 Like

Plot.twist upate NIS is doing a martin shikuku/kenneth matiba/mwai kibaki moment

3 Likes

Let’s get used to Tutam mapema. This guy isn’t going down that easy

4 Likes

Sifuna and MARAGA 2027, the rest wapatiwe kazi ya CS

Kagege by praising Sifuna, arent you betraying Rigathi, your tribal baal that you always worship?
Nyaguthii stop being treacherous.

2 Likes

Sifuna kwanza atulie apewe kabinet, apate Ex

Sifuna and Babu Owino are NIS tools. Na Ndindi Nyoro.

Ao akina Ndindi Nyoro walikuwa wanapewa chopper na pesa kila weekend na mentor wao, kuenda kutayarisha ground towards impeachment ya Gachagua, then wakaambiwa wakae na yeye huko opposition, Ruto akuwe president, na bado opposition iwe ni ya watu wake.

Tunajua ROHO yako iko kwa Ruto na huwezi banduka.

3 Likes

ukiangalia mawingu na upime temperature uambie elders kesho tuna mvua, haimaanishi unataka kunyeshe. tabia za wakenya, tamaa za wakenya, upuzi ya wakenya inaashiria bado tunarudi kwa ile shimo tumekuwa tukijaribu kutoka.

sitaki Ruto, lakini ngoja uone chenye ao united opposition watafanya elections zikikaribia.

3 Likes

Kila mmoja wao anadai power but heri wao kuliko hio mutu iko sahi

1 Like

Rudi kwa mopping floor

adui hupata nafasi ile wakati hakuna unity.

kalonzo hawezi achia mtu mwengine awe flag bearer.

wamunyoro hawezi kubali mtu mwengine.

matiangi anasema yeye ndio dawa ya ruto.

Boniface mwangi hawezi achia mtu,

Reuben Kigame anasema lazima awe kwa ballot.

hapo adui anapata nafasi mzuri ya kupenya.

1 Like

You really don’t understand the meaning of the term “tactics”

Wana confuse the enemy. Hajui who to engage. Rutoh akijua ni nani.. atamnunua. Sahi yuko confused kama rubbish.

1 Like