Showmax

Ati they are giving us one month free trial.

What is free here and am using my mbandos?

Juu ukinunua sigara unapewangwa na kiberiti?

Juu ukinunua tv ama radio unangoja kutumia stima bure.

Juu ukinunua beer bar unaenda na chupa.

Mtu wa tu-retio, wacha swali za Kinyozi.

I thougt ni kama ile mobile DSTV ya saf ulikua unasubscribe na 150 for 3hrs HD streaming free data

Juu umejua hujui

Technically ukinunua beer in a can unaenda nayo…

Irrelevant example, ukinunua tv ama radio kuna venye unaenjoy free radio stations and TV stations

Ukiona hivo kuna kitu wanataka kujua kutoka kwenu

The keyword here is stima.

How different is it to the one month free that one gets from Netflix/Amazon? Tiga wana weee…

Ukinunua @Female Perspective unapewangwa pamoja na dawa ya kaswende?

T

They usually want your details. Credit card number, phone number etc. Ndio wakufanyie marketing vizuri

Well, apart from credit card (where shomax substitute with mpesa) si wote huitisha your details ndio wakurushie kila namna ya ads…

Na zile radio za wind up? Or solar?

True.
Showmax is owned by Safaricom and DSTV.
Safaricom are the ones giving the one month ‘free’ trial.
Hawa watu hawajawahi tosheka na pesa?

Peasant manenos

So unataka wakupe net na showmax free?

Unasema ivo na sisi peasants tunabebwa ufala
[ATTACH=full]128423[/ATTACH]