shoe soles in nairobi

hi talkers, where in nairobi can one find quality shoe soles

Kariokor

Weka picha ya kiatu inataka sole.

Ndiyo hii hapa… [ATTACH=full]11468[/ATTACH]

kariokor wapi

kuna dukawala flani hapo opposite jamia shopping mall on Tubman road

sawa shocks…will check it

Kariokor huwezi kosa any sole unataka for whichever color/dye; hata color zingine sijawai ona those guyz create every type of foot wear!

Ngoja watu wa baba waone hii uone vile katanuka hapa.:D:D

…Na shoe laces?

hapo hapo 2 kariokor uwes kosa shoe laces zingine zimetengenezwa na ngozi ya simba, nyoka, crocodile hehe! Tembea hapo kariokor utaisha yako yote. Sio utani; they have em products.

1 Like

:D:D:D:D:D:D