Shoe size 13

Where can I get size 13 shoes in kenya? I normally depend on sending money to relatives so the buy them abroad but I’d prefer to buy them here. Are there any shops I would get my size?

hizo custom made ni zile sura mbaya

he he he,kimguu kubwa kwani wewe ulikuliwa na jiggers?

boss enda shonewa kiatu kwa fundi one time

Wewe ni ndugu ya The Great Khali?

niaje @Wakahomo

kwani uko na mguu abnormal??

Huyu mthii ana shida mingi kweli,:smiley:

@luther 12,saidia huyu jamaa

Sasa wewe pia uko na foot print ama ni foot county?

Hehehe… Hujamwambia poa.

so you are a descendant of the big foot species

Vaa tu tyre badala ya viatu.

Pics or it didn’t happen

Pia mimi natafuta shoe size 13…

Size 13 utapata House of Leather just off Ole Dume Road kwa ile building iko na Uptown Grill na Transfomers Chapel. Utapata size 45 to 48 for a limited selection na in my opinion zimebeat kiasi. Plus ni 12k.

Jaribu pia jumia niliona wako na pair kadhaa.

Pia Clarks store.

For sports/canvas/skate shoes, jaribu any brand name store e.g Adidas ama Nike ama Sketchers. Ama ujaribu mtumba but siku hizi ni ngumu kupata.

I find it easier kushop online juu kuna variety na cost pia ni mzuri.

Pia kuna wasee tao hushonesha viatu za jeans za okay quality regardless of size.

Gikomba hauwezi kosa viatu za size yako
Hata condom pia haupati size coz zenye zinakam kenya siku hizi hutoka china na huwa zimepimwa huto tudick twao, Jaribu bahati Gikomba Boss

Hey

Yes I can. I have a double monk shoe at 8k, .Call 0715283323

Hey

Yes I can. I have a double monk shoe at 8k, .Call 0715283323

Shop yako iko wapi?