Kuna dame alikuwa dancer hatari sana tao. Alikuwa anarombosea watu wanamwaga. Leo nimemuona joh, I guess alipata pesa/pombe. A shadow of her former self:eek::eek: Weight huchapisha madame vibaya sana. Ameenda kudance ka stage aka-booiwa:eek::eek:
Weka picha yake
Hutamuona hapa tena
wee pia hukurombosea???
Uko right. Siwes weka picha ya mtu hapa na hajanikosea. I was raised better than that