Shait, mumeona hii... Gory

I
Some images doing rounds in medics pages of a guy refereed from Meru to Knh.
Jamaa anepigiliwa misumari Kwa kichwa. Ako theatre. Wacha tumwombee.
Hope it was not threshold manenos[ATTACH=full]176081[/ATTACH][ATTACH=full]176082[/ATTACH][ATTACH=full]176083[/ATTACH][ATTACH=full]176084[/ATTACH][ATTACH=full]176085[/ATTACH][ATTACH=full]176085[/ATTACH][ATTACH=full]176081[/ATTACH][ATTACH=full]176083[/ATTACH][ATTACH=full]176085[/ATTACH]

Jesus Christ… Jifunze kuweka spoiler shenzi!! Anyway its tragic though

Pale mkuru kwa zuckerberg wanadai amekamua bibi ya fundi wa mbao …

unethical

hata sijui walimsumbua kupeleka nairobi wa nini juu hata wakitoa misumari atakuwa veg kama atapona.

Moral of the story:
Usikule bibi ya mtu ako na hardware.

Kwani anaongezwa misumari kwa theatre? Those pics show more than one head.

Hapo sawa… Anafaa sana kufunzwa adabu

Hii ni real kweli?na @Meria Mata alikuwa anasema ati ikipigiliwa kwa matanye ya momo ita…ama hii ni ya tanzania?

Hope he is not dead.

:D:D:D

The surgey was done and the nigga is paralysed.
It was a bar brawl with a psycho.
Read more on this Article from 8th Feb ,2018.

*[SIZE=1]si lazima uclick[/SIZE]

:D:D:D

Anyway, naona Kenya tumeanza kuadopt tabia za kinyama kama wale waarabu sisi hukemea hapa kila siku.

https://www.youtube.com/watch?v=Ge9dyWzxDAs

https://www.youtube.com/watch?v=hc1Oe684mc0

Wah, yenyewe hii ni ngori.

Looks like a different story.

These CT Scans are for a Robert Muchongi, a 37 year old man. The patient with the 4 nails is different from the other patient with the 2 nails.

If the patient was fully functional, I would shear off the heads of the nails and leave the other pieces in situ. Cover him with antibiotics for a month so that he doesn’t develop meningitis or encephalitis. Removing them actually causes more damage. It’s like war veterans who walk around with shrapnel in their heads and bodies.

Has Fai Amario resurrected? This was his modus operandi…

Fai Amario was once said to have done the same to an accountant he had caught cooking books to steal from him.

Copy paste summary. El pucci

@Randy jeshi yako itakufanya hivo ukikataa na pesa yao

Kwani huko Meru hawana claw hammer? Hizo unatoa unatafuta matawi ya kichakani unabandika hapo in a week ninja imepona.