Jenga mwili kabla ya kwenda dunda…
Apana tambua mutura ya ashu plus take away chips ya Sonford kama ile ghasia @Motokubwa…
[ATTACH=full]209184[/ATTACH]
Pale tunacheza na Deutsche sandwiches na kuteremusha ni orange juice origgy.
[ATTACH=full]209185[/ATTACH]
Afadhali take away chips kuliko hii ghasia. Panya nilikuambia ukule kama mtu mzima/human being
Panya itakula aje kama mtu?
:D:D:D:D
Mission Impossible: Berndora Dining!
@Mathaais na wewe @kijanamrefu …kuna vile tunaanza kuzoena. Hizo jokes zina sound vita. Mtu anishike kabla nipige hizi ghasia mbili meffi
Nguvu utatoa wapi kama unakula hizi makaratasi
Hiyo ni chakula ya watoto bana!
Buda si hiyo makali itakataa ata kabla ubleki…
:)
my tiny friend backup ya 130kgs of pure muscles iko standby tuchape hizi shaitan mbili
Sewer rat, you need to style u, kwanza hapo hakuna orange juice, ukitaka orange juice origgy, peel an orange and eat it
Hakuna mahali mmeongelea sukuma na mikundu ya wanaume wengine? Idonbilivit!
Wewe unaniangusha bana, chakula ni ugali .hii ni snacks. Kwanza naona cheddar cheese na mayo, taabu. Unaharibu mwili I swear
Unadai?
Kwani Unapeana?
:D:D:D:D:D:D, mna ufala sana.
panya ni panya tuuuuu
I am at a remote town, in a night club, several kilometers away from anything that resembles authority.
Nyenyekea, sote tunajua kitu unaeza piga ni kelele tu,