Pamoja na kuwa tuko ugenini kwa sasa, naomba tuendeleze maisha yetu ya kila siku kama ilivyokuwa wakati tuko Jamii forum ya inchini kwetu.
Kwa heshima na taadhima nawaomba wale magwiji wa series za Ulaya na Uingereza mfike katika uzi huu mtujuze majina ya series kali ikibidi mtuwekee na link ili tulio wapenzi wa haya mambo tupakue kwa raha kabisa.
The Last Kingdom na Taboo nilizipenda.
Kuna Knightfall,
The Long Road Home,
Fauda,
Deep State,
Money Heist,
MacMafia
Kwa uchache tu hizi nazo ziko bomba.
Jamani kwa aliye mkoa wa morogoro na ana series zakutosha zakimarekani na mataifa mengine naomba tuwasiliane maana nahitaji sana hata kama kuna gharama nitajaribu ku cover.