Series za Comedy.

Habari wakuu. hivi Karibuni nimetokea kuwa mpenzi wa series za Comedy.
Nimecheki The office(USA) na kuimaliza. Sasa naangalia Unbreakable kimmy schimidt na Silicon Valley. Kama nawewe ni mpenzi wa Series za vichekesho tushirikishane zile nzurinzuri.
Madam @Sky Eclat hauchekigi hizi series?

How i met your mother, my all time favorite.

Last man on earth

Msaada wa site ya kudownload movie,pirates bay imenigomea

Wakuu naomba msaada wa kushushamovie na series

shameless na blue mountain state

upo sahihi