senior villager

thank you guys am now a senior villager within 36 hours,
long live ktalk
leo naenda kujitreat na matumbo ugali pale cascade hotel (by the way wao hupika matumbo poa) then nipite rwambogo nipewe summit mbili as i watch those nyap peddlers (huwa sinunui nakulanga tu na macho)
halafu nko Na swali ktalkers, leo tulikuwa kwa chifu coz mzee alikua na ka case fulani n as a carin son nikampeleka,chifu wetu naye hajui kuongea in low tone so tukiwa reception i could hear ile case alikua anatatua sijui nyinyi mtatoa judgement gani b4 nimwambie how our wise senior chief alitoa judgement.
mbugua na kung’u walikua wanafanya kazi ya boda boda,mbugua alikua anapenda kulewa sana, one day kung’u akanunua pikipiki mpya,dayun model 150cc, io day iliyofuata akaraukia job akiwa kama celeb, evrybody congratulated him na hapo ndo mbugua akamuomba wa exchange pikipiki kidogo ata yeye afeel the new machine,
ikifika saa saba mbugua was bebaring wateja na the new motorbike ya kungu while kungu was using mbuguas old piko.
around saa saba kungu akakosa mbugua for 2 hours, kujaribu kuulizia akaambiwa mara ya last alionekana kwa gheto fulani akipewa pombe then the heartbreaking news kuwa alipotoka kupewa aligonga mti nayo mti haikumuondokea,alifia hapo nayo pikipiki ikawa written off such that ingetoshea kwa paperbag ya 5 bob.he was buried the coming week.
kungu continued to use mbugua old motorbike as boda n mbuguas wife w
as at the chief office for his intervention kungu amrudishie bike ya mumewe,kungu was sayn this is very unfair since the insurance couldnt pay him since the deceased didnt have a drivin licence,he was caress on that day to kulewa n drive his bike n his bike was bought on loan.mbugua wife lamented she has no other means to fed her family n the log book beared mbuguas name n she was the administrator
kuongea in low tone so tukiwa reception i could hear the case he was trying heatrto arbitrate ama kunasemwangwa aje?
i prayed apewe solomonic wisdom since ata mimi kwa

5 Likes

Kungu apewe motorbike plus bibi ya Mbugua, case solved.

7 Likes

sasa ujinga wa kuacha whitespace ni wa nini?

back to the case…mjane kama administrator wa estate anunulie Kung’u Dayun mpya ndiyo apewe bike mzee ya Mbugua. Administrator hudai assets na liabilities pia…my layman’s view…

4 Likes

kungu apewe motorbike yake

Kungu afanye ku-inherit wife wa Mbugua.It’s a win -win.

Was there a written agreement between Mbugua and Kungu? If not, then Kungu apee bibi ya mbugua fikifiki.

You can detect someone who’s used to wife inheritance.

injustice…

kazi ya chifu ni ngumu sana, afadhali D.O :smiley:

1 Like

Better that,I know of someone who inherited his Step mom na si kenya!!,Ask @Okiya Omujains

Not at all. Its the law.

ka tecno.kangu kameshidwa ku edit admin.si unitolee hizo sentensi hazimake sense hapo down

1 Like

Kun’gu atumie hio fikifiki mpaka amalize loan, then achukue loan ingine anunue mpya, arudishe ya mbogua

1 Like

you mean kijana wamalwa the late

Very tough case…

Makoi Marial from Jonglei

Greek subtitles please, not evryone is luopean

kama venye imesemwa hapa juu, kungu atumie nduthi kulipia loan kwanza, then akapewe loan mara ya pili na akome!

utakoma!

Hapo ni kizungu wewe @Fala 12