Senior villager or village elder , who is senior to the other

???

Wewe nafikiria ni mgani senior?

Senior V. Elder tayari wameenda Retire. they are surviving on pensions

Elders hawana kiherehere kama hawa senior villagers

Whoever makes significant contributions to this village is senior to the other, m in a mad rush to gain superiority don’t post trash

3 Likes

Well said, na wanknanyama tumueke wapi

Where are the posted rules in this village nimetafuta sijazipata cs some hujuma nimefanyiwa.
Any Mod around?

Heheheh…Thanks @Deorro I hadn’t even noticed nilishapigwa teke upwards. Ati sasa mimi ni senior villager…

he he he,nimetulia sasa,hakuna kupick fight ovyo ovyo,kama ni krost ningekuwa persona non grata up to 2175

Senior villager is senior to villager, you see the word ‘senior’ right? Village Elders are on another level-they are the gurus and teem with wisdom from their long periods of contribution.

http://www.kenyatalk.com/index.php?help/terms

ASANTE

Nimekuwa elder for too long, @Deorro,other mods, admin, si you create another rank.

Wote ni wajinga na kama wanataka vita wakuje.

Si uambie @admin akuite village mongoose kama @Deorro
Ama unataka uitwe muthica mboco @Mathice

@Deorro Sande sana.Nitafutie position ya kuwa village elder mlango ya nyuma please!!!

Wacha pupa.

1 Like