Sema kuharibiwa siku

Leo naenda mwenda zangu mall moja inaitwa Ibn Batuta, mimi huyo naingia metro. Somewhere huko katikati I decide to be a gentleman napatia dem fulani ana ball seat atulizie nabaki nimesimama. Metro iko crowded kiasi wahindi na mafilipino kibao. Nashtuka kidogo mfilipino amenizama mbosho akachomoa pori yangu. Siku waste time na yeye. Nimemkagua ma blow, left, right na uppercut mzuri yeye chini. Watu kushtuka kijana ameamua kurudisha wallet yangu story iishe, funniest part alikuwa amechanganikiwa akanipatia mpaka ma dhirams zile alikuwa nazo zote, sijui kama pia alikuwa amechapia. Sema mujamaa kufikiria ameangukia kumbe ni yeye ameangukiwa. Pana tambua takataka, nimeshuka destination nimewacha mujamaa bado ameshangaa.

5 Likes

picha picha picha muhimu mboss… ama sketch

2 Likes

mbisha ya ibn matuta tafadhari

2 Likes

Niaje kush Kwani siku hizi unawank internationally

Mbica ya Ibn Batuta ndo hio, ya mfilipino sikuwa na time ya kuchapa. Sikutaka lawama
[ATTACH=full]13499[/ATTACH]

1 Like

:frowning: Chyeth

Mbisha nduthi man

EDIT: Hapo sawa

1 Like

picha ya 2007 ai yawa kwani ulimboda before PEV?

1 Like

Buda kofi mbexe plus sweep ingemaliza hio kazi

3 Likes

Watu wamelewa leo.

Hapo sawa kanono.

Reminds me of one time nilichokozwa na blacki kwa club. I walked away nikaenda part ingine ya dance floor. Sikutaka mzozo ndani ya club. Na vile weusi wengi waoga kuzienda boka. They always come out shooting. Akanifuata huko pia. Mi nikatoka inje kutuliza nerves na monzo. Fala kanifuata inje akiuliza yule African booty scratcher ameenda wapi. Hapo nikamshow vile palm of Buddha husambazwa.

7 Likes

Hapana leta mchezo kwa kazi!

1 Like

hehehe guns make fist fights in the U.S unfair ikue kama kenya kama ni kulimana ni kulimana mambo ya bunduki kando

1 Like

Must be quite lonely there, huh?

:smiley: Good job. Just wondering, alijuaje wee ni booty scratcher??? Ilikuaje mpaka mkajuana akakuzoea hivo??

1 Like

Sioni vile iliharibika and you came out of it with more money.

We wacha uongo. You fight in a metro which is under strict cctv surveillance, there is police checking everyone? Kwani no metro ya India. Wacha hekaya

1 Like

Sijawai ona cops au CCTV kwa dubai metro or even the station itself

3 Likes

http://dubaimetro.eu/tag/cctv-camera

[SIZE=5]Breach in Dubai Metro security[/SIZE]
With more than 3,000 CCTV cameras, a dedicated round the clock police force and a set of heavy penalties, the Dubai Metro is one of the safest in the world. Fines range from Dh100 to Dh2,000, depending on the nature of the violation, with using emergency buttons and exits attracting the highest penalties.