Sean Cardovillis

What happened?

Nimeona amenyuria.
RIP to a great sports journalist.

Capiro sports

Ile COVID ya mwisho ilichapa wasee wengi wakakuwa weak sana ndio nashuku ilipita na yeye. Alafu lazima he had some preexisting condition((s). That thing ilikuwa noma sana nilicheki msee amekuwa tu strong toka kitambo akikohoa anajishikilia mahali kwanza asianguke.

2 Likes

Alikua na covid alafu pneumonia ikamuwahi last year. He had not fully recovered hata kutembea alikua anahema mbaya sana. I guess his lungs had been completely damaged capacity wise

1 Like

Covid messed him up a great deal. Jamaa alikuwa I See You for days on end,

1 Like

Dude was sickly like 2 years ago if my memory serves me well. RIP. Merge threads admin

1 Like