Saxophone

Sijui nani atanifunza kucheeza hii kitu

Kama wewe sio generation ya flute na nzumari in a subject called Music in primary…achana nayo tu!!!

Tafuta Ian mbugua was braeburn school / tusker project fame

Enda huko karibu na Kenya National Theater. There’s a music school there.