Nani mwingine anaona saudi ikiwin kama mimi?iko na odd ya 10 nataka kuipea 1k ilete 10Gs
punguza tamaa ndugu, wale waarabu hawako vizuri kimpira
itaisha moja moja
pia naona inaweza toka draw but russia kupiga saudi,sioni.
kubahatisha mkuu,mpira haina gwiji
Againist the host country?? What are you smoking?
No host has ever lost their first game in the worldcup
wakati mwengine tunalose kwa kujitakia
wacha kunitishatisha mkuu,already nmeweka 1k,russia itakuwa ya kwanza kudraw ama lose
Hehehe… huoni ikiisha draw?
Na code ya fantasy ipo ama hamna?
daaa hiyo kundi sujui ka likamwacha salama kabisa
Hiyo Thao enda ukule nyama utapoteza
kijana sikiza words of the wise, hata wewe mtu hawezi akakupiga kwako na unyamaze tu
Umepata hizo 10Gs:D:D
there is always a next time,endelea kunicheka tuuu
wewe pia wacha ujinga. I clearly told you Saudi could not win against the host. When did you start watching football?
Told you ungekula nyama :D:D:D:D
ukisema nilikuwa nmeweka bana.
izza, next time uliza mapema