saturday salon: Naivas Kericho opening

sijui kama muliona lakini hata hivo sijali…
watu wa kericho musijali mutazoea tuu.

[MEDIA=facebook]id=1959994450923747;type=video[/MEDIA]

[MEDIA=facebook]id=1959995207590338;type=video[/MEDIA]

[MEDIA=facebook]id=1960266347563224;type=video[/MEDIA]

:D:D:D

Guka, hapa iko siida

na reach Makena ako kwa treadmill

huyo dame wa vida ya tatu, ako kwa treadmill ama :D:D:D:D:D:D:D

When development start hitting it hits hard… But on the 2nd video something is not right with that exit… Standards dictates the landing should be a rubber kind of surface.

:D:D:DAti Nani ako kwa treadmill?

Hiyo ya Guka ndio Kericho and that boy behind could have helped him.

Hiyo ya treadmill is recycled, I have seen it before and its here in Nairobi.

Huyo Guka anakaa Harun Mwau, juzi garden city nimeona dame flani akistruggle sana kwa escalator, watazoea tu.

hehe Makena anajaribu kuambiwa ni the other side lakini ana #resist

[ATTACH=full]141358[/ATTACH]

:D:D:D:D
:D:D:D:D

Lakini @Fala 12 unaufala sana :D:D:D

ati Jericho?

hebu enda utafute thufu of knees, umelewa.

:D:D:D
Makena angefika upstairs kesho.
Shait.

:D:D
Hii ni kama material ya gunia…

Don’t joke around with a phobia, I have seen a grown-up woman literally in tears after being bulldozed and taunted by her friends to use the escalator at Garden City.

I didn’t like that people found it fun to watch an old man and laugh at him, not right

This what makes it funny

Nakumbuka hio ya life style Ilikua inatuchanga sana tukiwa first year main campus

Ile siku Rico watafungua branch kericho uniambie

Nakubaliana na wewe.