Saturday afternoon

Mko wapi na mna fanya nini?

Most of you are useless peasants so najua hamuezi toka kwa pigsty zenu…

Niko hapa moto sports club in south c…

Tuchemshe bongo tukicheza chess

[ATTACH=full]127454[/ATTACH]

3 Likes

Tuko job
[ATTACH=full]127456[/ATTACH] [ATTACH=full]127457[/ATTACH]

6 Likes

Hauko naks nimepita happy Vegas , my friends wako rugby hapo

1 Like

Poa. Endelea kuchemsha liver

Niko car wash

[ATTACH=full]127463[/ATTACH]

1 Like

Aiyaya…prinsloo sevens’ was Leo? :frowning:

1 Like

Yap niggas already drunk

1 Like

Niko nai buda

1 Like

Kuja kwangu niku host mummy

Niskie sijui ooh liver ooh kidneys… kwani ni zetu??
[ATTACH=full]127467[/ATTACH]

3 Likes

Leo sitaki kuskiza story za siasa. :slight_smile:

5 Likes

Nimekuonea nje ya 18 bruh!

1 Like

Wacha katambe

1 Like

Ulevi si utajiri…tafakari hayo

1 Like

Beer na ball. Ndani ya +49.
[ATTACH=full]127469[/ATTACH]

3 Likes

Peasant scratch hio chrome ruffle. :D:D

2 Likes

Meff rudi kwa closet

Maneno ya Rigs je??

washing down a hearty meal with a guiness. closet ni wewe,meffi.
[ATTACH=full]127470[/ATTACH]

6 Likes

Anytime. :wink:

1 Like