San Andreas has topped the US box office, taking $53.2m (£35m) over the weekend

https://www.youtube.com/watch?v=Bz9e0PGSDeU

nice

NIC bank made 3.2 billion in profit last year. Tofauti ya hii news na yako ni gani? Zote ni biashara.

One has Hesabu and the other Hekaya

3 Likes

Gta 5 made $1 billion in 3 days

Wakenya kama @kijanamrefu ni watu hawaezi appreciate kitu, hao ni wasee una wakaribia tu kama hautaki growth in life

Kijanamrefu si amegrow akakuwa mrefu?
Najaribu kukufungua macho hutaki.

1 Like

umegrow ukawa mrefu lakini akili imesalia kuwa duni

2 Likes

tofauti ni kuwa ile ni profit made over one weekend and the NIC case is over the year.

Ya pili ni venye @MgangAlchemist amesema.

Preproduction n shooting, post and marketing takes over 8 months usually

Haujaambia huyo jamaa vipoa

:smiley: yeye ako ile design ya mbwa, kunenepa mwili lakini miguu zina baki zimekonda

hekaya/HOYA sells