Saleable cars

Ni magari gani ya pili ya kununuliwa zaidi na ni mfano gani wa mwaka?
(What are the most purchased second hand cars and what year model?)

Apana uliza sisi maswali kama hii. Sisi tunaendesha Mtusubishi.

Buda hii ni gari gani haki?

Mitsubishi ni wengi kununuliwa? ni mfano gani wa mwaka kwa kawaida? Si Prado?

Kuendesha mkono wa kulia.

Watu wa resale value wametokezea…

2010 model

@introvert hii ni nini sasa?[ATTACH=full]132234[/ATTACH] [ATTACH=full]132236[/ATTACH]

Eish…
Sijui lakini inakaa fiti sana na hii jam.

Must be a motor-bicycle (if there’s such a thing)

It’s not a moped.
The saddle is big enough to ride two up and it’s got fully functional gear box.
Smallest displacement I’d give it is 100cc.
Plus, considering they’ve given it front and rear disc brakes, this thing is not exactly a toy.

THAT! Is the word I was looking for. It had escaped my mind. It’s an interesting concept.

hehe I realized selling even these Toyotas is not easy bana… I tried selling a talker’s Axio since he was away from 254 a few months back nikashindwa

Toyota Axio,Belta. Allion.Fielder.Wish.Vitz.Premio.
Nissan Wingroad. TiidaLatio
Mazda Demio
Hizi most ukipata apa local second ni ya from 2004 and it’s less than 1m na most zinafanya taxi uber. little.taxify.etc
So ukiwa na good bank statement bank inakuchukulia unalipa mos mos.
Biggest population na Kenyans ni mido class aka hustlers hio ndio hesabu wanafanyanga

shukrani kwa maelezo. Nataka kupata gari bora iwezekanavyo ambayo haitumiwi katika Kenya. Ikiwa hutumiwa zaidi ina maana ya ubora mzuri

I would like this for Nairobi traffic. I use to own a bike back in the day, I’d split traffic from ft. Lauderdale to Miami get there in almost half the time

hii tank ni litre ngapi