Habari ya hapa jamani, tangu JF imefungwa kule kwa kiongozi jiwe nimejihisi nipo nje ya dunia sijapata habari nyeti tena juu ya jiwe na serikali yake, angalau hapa ntaweza pata news zozote.
Mkuu, karibu tujumuike huku ugenini… Lakini usitake kupiga na honi kwasababu umepewa lift
Karibu mwanakijiji.
huku ukiitwa Ngombe mezea,
Karibu mkuu kwenye kambi ya Kankuma kambi kubwa kabisa ya wakimbizi wa Maziwa Makuu
Hahhahahhahahahahha,
Karibu…
Cc: @Mahondaw
karb san mkuu, washtue na wana!
Karibu, lakini umemuaga mjumbe?..
Ng’ombe ya Magufuli hahahaha
Karibu sana…
Karibu mkuu.
Aliyekuita hivyo hakupewa ban. Inamaanisha hakuvunja sheria. Najua Mods wa Jf watajifunza mambo mawili matatu. ![]()
Salama kabisa Mzee mchochezi