Makonda alikuwa na kivuli cha kusema nitawashitaki watu wa TRA kwa rais kwakua ndiye mwenye mzigo.
Sana I ile ni kwaajili ya hoteli mpya ya Magufuli iliyopo Chato inaitwa JS Plaza ambayo ameifungua wakati akienda kwenye msiba wa dada yake.
Magufuli anajua kilichoko kwenye container hizo. Msitegemee Makonda kuwajibishwa hana kosa. Haya yamebainika baada ya watu kunyaka info na kuzimwaga kwenye social media. Kile kicheko cha kebehi jana ilikuwa danganya toto.
Tundu Lissu alisema Magufuli ni risasi la kutisha.
My Role Model, mbona Nyerere Plaza sio hoteli!!!
Ni jengo la serikali ambalo lilikuwa na ofisi mbalimbali za serikali mfano NHIF pia kulikuwa na benki, lakini walitoka kwa kuwa lilikuwa linafanyiwa renovation. Liko pale kwenye round about ya picha ya Nyerere. Sio hoteli ni jengo la serikali