Waziri mpina kaomba radhi jambo ambalo sipika wa bunge amehitimisha kwa kusema mtu mzima akikasilishwa sana huwa anasamehee, ila betweenthe line unaona ile body language haisadifu…
Naipenda nchi yangu tanzania kusameheana ni njia bora ya kumaliza matatizo yetu…
Ila ukwel mpina anapaswa kujiuzuru amefall totally…
Mpina asipewe ubunge tena kwani ni msubufu hata alipokuwa wizara ya mazingira kaingia uvuvi na ufugaji kasababisha mahusiano na Kenya kuharibika kataifisha ng’ombe na kuchoma vifaranga toka Kenya
Samaki kadri wanavyokua huhama toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine hasa palipo na samaki wadogo na viumbe wengine wadogo wa majini ambao huwala. Kama ukanda wetu hatuvui hata hao wakubwa, basi ni faida kwa majirani zetu kwani wakiingia ukanda wao huvuliwa. Sisi tunabaki kulea wakue. Nyavu kubwa zinetengenezwa za nini? Kwasababu imefikia hatua kiasi kwamba samaki (iwe mkubwa au mdogo) wamekuwa kama kukutwa na silaha haramu au madawa ya kulevya. Ikumbukwe pia kuna wafugaji binafsi nao wanaletewa figisu hadi kuwa na vibali kuuza samaki wao. Na pia mlolongo wa upatikanaji wa kibali achilia mbali hofu iliyopo kwa wateja. Mimi binafsi ni mfugaji na hizi sheria zimeathiri sana biashara kwasababu wateja wamesitisha kununua kisa hofu iliyotanda kila sehemu. Samaki wakubwa kabisa, ila bado watu wanaogopa kukamatwa kwasababu muuzaji anawezakuwa na kibali, ika mnunuzi(mteja) hana na hahitaji kuwa na kibali
Mkuu nafikri tatzo letu hatuna mtu sahihi wa kutusemea, au wabuge wanaogopa kusema, cjajua mpina anaponaje kujiuzuru uwazili, au waziri mkuu anamwogopa mpina?
Haiwezekani mpina awe na uwezo wa kuagiza watu wa wizara yake eti kuja kukagua samaki, eboooo??? Yaan mpina unamamlaka ya juu kuliko spika? Hujui utaratibu? Kwa nn usingemtaarifu spika yy ndye akafanya maamzi?
Kibaya zaidi, unaita na waandishi wa habari, ku-cover story, kwel tumefika mahali Bunge linadharaulika kiasi hiki?
Plz PM chukua hatua, mshauri jpm amwondosheee mbali mbina, na kwa kuwa rais huwa hasiti kuchukua hatua atakubali…
Hiii ni Aibu kwa Bunge, na nchi… Mpina pima uzito jiondoshe mwenyewe…