SAKATA LA SAMAKI

Kwa wale ambao hawajasikia, jana mh, peter selukamba, akitoa hoja bungeni ili wajadili wale maafisa w Maliasili walioenda kwenye kantini za bunge kupima samaki kwa rula wakiwa hawana kibari chochote cha bunge

Baada ya mjadala spika alitoa maelekezo kwa waziri mkuu akete majib ni kwa nn hao maafisaa walikija kwenye kantini ya bunge

Kuweka kumbukumbu sawa, kumekuwa na malalamiko ya mda sasa kwenye wizara ya uvuvi juu ya ukatwazaji wa samaki, na kunakipindi mbunge MSUKUMA,. wa jimbo la GEITA VIJIJINI, alitoa malalamiko hayo

Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya wananchi kwa maafisaa wa maliasili kuwa nyanyasa wananchi wanaovua au wanapata kitoeo, nakukisafirisha,

Wakati fulani gari la mbunge(msukuma)
Lilikamatwa likiwa na mteja aliebeba samaki na kuamuliwa kulipa faini ya m.3,

Mwenye taarifa zaidi atuwekee kwa nn samaki imekuwa kama madawa ya kulevya?

Mkuu me nipo huku zinakotoka wenyewe wanaita mwaloni yaani ni balaah wababa wametelekeza familia zao haijulikani lini wanarudi maana hata hewani hawapatikani, kwenye daladala za huku ni kama wimbo makondakta wanavyokomalia watu wasinunue wala kupakia Samaki kwenye magali Yao.
Hii imekuwa vita zaidi ya madawa mkuu
Samaki ni haramu kuwa nae mkononi.

Je hao wenye magari na wenyewe wana Rula kama ya wale majamaa?

Wahuku hawatembei na rula coz shughuli za uvuvi zimepigwa stop so wakikuona na Samaki kazi unayo

Nchi ya Viwanda hii

Tule tembele tu tupate madini ya chuma

Mmh

Nmelipenda hili swali

Ngoja tuwasubri leo may b watakuja na jawabu mujarabu…

Bila kusahau mbaazi,tule tu maana soko la nje hamna

Hili la maafisa uvuvi kikosa vifaa sahihi vya kukagua samaki na badala yake kutumia vifaa vya mashuleni/stationery limenikera. Pia wameenda kwenye sahani badala ya pwani (fish landing station).

Ushamba tu unawasumbua.

Tunawatunza kwetu, wakishakua wanakimbilia uganda na kenya.

Majuha sisi. Mungu atuurumie

Sio drama la Kikorea kweli hili?

Wimbo umeanza kueleweka now

Ile Kanda si kuuelewa tu mpaka wanaucheza kwa step tofautitofauti.

Elimu elimu elimu

Kaazi kweli kweli. Mi yangu macho na masikio tu nikifuatilia hizi dakika za kipindi cha kwanza zitakuwa na matokeo gani kwenye mchezo huu unaoitwa awamu ya v

Kaazi kweli kweli. Mi yangu macho na masikio tu nikifuatilia hizi dakika za kipindi cha kwanza zitakuwa na matokeo gani kwenye mchezo huu unaoitwa awamu ya v

Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo…tehteehhh