Saidieni mimi

Nisaidieni vile naweza pata RTMP links from streams. Wireshark na URL helper zimewacha kufanya kazi, niko bundus sina internet msuri and I’m almost there.[ATTACH=full]26977[/ATTACH]

Mimi nimepata Kodi juzi…Hata sikuelewi wacha ningoje comments za talkers…I am a student…class is in session now.

1 Like

English pwanaa… Kigiriki sikielewi

1 Like

I wish I knew what language you’re speaking here mblo. Now, where’s @Deorro?

3 Likes

Hata pia mimi nimejifunza through trial and error

hehehe, ni osungu level 99. Hapa siwes wekewa osungu na mpira

Ran a google search nikapata hizi. Will look for tutorials kama utahitaji
http://s19.postimg.org/kogqcrf7j/2016_01_12_03_27_13.jpg

2 Likes

Wireshark ndio best option yake unless hajui kuitumia

Sasa ww ndo bigwig wa KODI ambaye sisi ukimbilia assistance alafu apa unatuuliza usaidizi…chief unatu take 4 a ride nn?

Ni mchango wa mawaidha mblo. He’s making add-ons to enable you watch stations that are not currently in any of the add-ons.

1 Like

Hebu nisaidie, imenipa links za kadhaa lakini zile ziko nyuma ya .flv na .swf imekataa kabisa na hapo bado haionyeshi rtmp handshake

Hii ni tatizo kidogo inahusu server side scripting. Hiyo ni lugha tofauti na Kodi

Unadai ya website gani?

bundus ni nini?

Ustream na JW player. Zingine from the same sites zinafanya lakini hizi zingine zinanipa kitu kama hii

http://uhs-akamai.ustream.tv/sjc/sjc-uhs07/streams/httpflv/ustreamVideo/20862065/streams/live_1_1452520514_1820533323.flv

kichakani