valencia vs las palmas…gani inakaa kuchukua???
halafu sevilla vs mirandes???
najaribu kusaka supper ya leo
Mimi nimeeka Las Palmas na Seville wins
Hizi sio games za kusaka supper jo…unaeza lala njaa:D
1 Like
Mirandes will score so goal - goal or over 2.5
Hata hii game ya Valencia inakaa kuwa GG pia…
Valencia watafunga kweli?
Not sure…:D:D:D:D but wakianza kufungwa, then definitely itakuwa GG
Sevilla win
sevilla naona ikiwa kama atletico jana…leo staki kukunywa maji bana:)
1 Like
Weka feyeenord win
[ATTACH=full]29183[/ATTACH]
1 Like
nimeplace valenica under 2.5 na sevilla gg…kubaya kubaya :D:D:D:D
sevilla win
Las palmas-valencia =GG
Sema GG kuuma nje
2 Likes