system
April 24, 2018, 11:33pm
1
Jana/leo safaricon imemisbehave vizuri sana.
Bonga points zika tripple
[ATTACH=full]167710[/ATTACH]
The deal was going good then
[ATTACH=full]167711[/ATTACH]
That guy is the most stupid person i have ever seen. ass wipe
Anyway tupige simu na free minutes
[ATTACH=full]167712[/ATTACH]
[ATTACH=full]167713[/ATTACH]
kev
April 25, 2018, 12:25am
2
@JeremiahKihindo , mimi walimeza Tunukiwa ya 500mbs jana, ati Tunukiwa inamashida
Tulihama safcon kitambo.
Line yangu ya safcon is only for mpesa and receiving calls.
Unless you went to a safaricom shop and redeemed a phone/laptop, this was a useless oversight. Yaani kupewa 500Mb ama 30 Mins talktime ni kitu ya kucelebrate???
Peasants everywhere!
Safaricon is for peasants
Watu wa platinum hatujali
@jeremiahkihii aachange ufala awache peasants wajibambe kubaf!
I wonder how younglings feel when Blaze favours stop at 26 years of age.
Pseudo
April 25, 2018, 8:23am
9
Jana/leo safaricon imemisbehave vizuri sana.
Bonga points zika tripple
[ATTACH=full]167710[/ATTACH]
The deal was going good then
[ATTACH=full]167711[/ATTACH]
That guy is the most stupid person i have ever seen. ass wipe
Anyway tupige simu na free minutes
[ATTACH=full]167712[/ATTACH]
[ATTACH=full]167713[/ATTACH]
Hizi bonga minutes zinatumika aje?
njeremia ni nani sasa:D:D:D:D
system
April 25, 2018, 8:38am
11
I have a nice phone i don’t need a new one. I don’t use a Chinese phone kama wewe
system
April 25, 2018, 8:39am
12
Same to me huwa natumia airtel, saf ni mpesa
system
April 25, 2018, 8:40am
13
Grow old away from us young people. Enda ukanuke ukoloni mbali na sisi
Nis
nishapita hiyo age where a phone is an accessory, its now a tool.
Whats the point flossing na iphone ya sijui 80K na hauna kakitu kwa mfuko!!
U are the peasant trying to avoid the high cost of safaricom…
Mimi simu yangu ni Safaricom na haitawai toka… For internet i use faiba mi-fi… Airtel tuliachia wale hawajiwezi wadanganywe na unlimited mwitu in the name of unliminet at 256kbps:D:D:D
Airtell 4g line walikuwa wanapeana 2gb data kwani walifunga njana ama wamechange nini
Hio faiba kwani ni ya free?